MUONEKANO wa maandalizi ya sherehe ya Siku ya Kilele cha kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kitaifa ambapo sherehe hizo kwa mwaka huu zinafanyika Mkoani Mara Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.
No comments:
Post a Comment