MHE. MWAMTUMU MDAU HAJI AENDELEZA KUTEKELEZA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA MKOA WAKE WA KUSINI.

MBUNGE wa Viti Maalum MKoa wa kusini Mhe. Mwantumu Mdau Haji akimkabidhi shilingi milioni mbili Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Ndg. Abdulirazizi Hamadi Ibrahim kwajiri ya Wilaya na Jimbo la Paje na Makunduchi.

MBUNGE wa Viti Maalum MKoa wa kusini Mhe. Mwantumu Mdau Haji akimkabidhi Mabusati Msaidizi wa Madrasa ya Sanaa Ndg. Mkasi Khamis Haji kwajiri ya matumizi ya Madrasa hiyo.


MBUNGE wa Viti Maalum MKoa wa kusini Mhe. Mwantumu Mdau Haji akimkabidhi Compyuta Msaidizi wa Madrasa ya Sanaa Ndg. Mkasi Khamis Haji kwajiri ya matumizi ya Madrasa hiyo.


MBUNGU wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtumu Mdau Haji amekabidhi shilingi Milion mbili kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ndg. Abdulirazizi Hamadi Ibraim, milion moja kwaajiri ya Wilaya kichama na milioni moja kwaajiri ya majimbo mawili Jimbo la Paje na Jimbo la Makunduchi kwaajiri ya maendeleo ya Chama Cha Mapinduzi Jimboni. 

Msaidizi wa Madrasa ya Sanaa ilioko Ukongoloni Wilaya ya Kati Ndg. Mkasi Khamis Haji akitoa shukrani kwa Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Kusini Mhe Mwamtumu baada ya kukabidhiwa Compyuta na Mabusati wa matumizi ya Madrasa hiyo.


Wanafunzi wa Madrasa ya Sanaa iliyopo Ukongoloni wakimsikiliza Mbungu wa Viti Maalum wa Mkoa wa Kusin Mhe. Mwamtumu Mdau Haji alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa chuo icho kabra ya kuwabidhi msaada.

Napia amekabidhi Comptuta na mabusati katika Madrasa ya Sanaa kilichopo Ukongoloni Wilaya ya Kati Jimbo la Chwaka Mkoa huo, amewasaidia vifaa ivyo Madrasa iyo kwani ni ahadi alioiaidi kwa muda mlefu tangu kipindi cha Corona ametekeleza ahadi yake kwa kuwapelekea vifaa ivyo vyenye thamani ya shilingi Laki tano na semanini. 

Haji Juma mwalimu wa madrasa iyo ameshukuru sana kwa kupewa msaana huo na amemtaka mhe. Mwamtumu kuendelea kuwa na moyo huo na pia amewataka Viongozi wengine kujitolea kama mhe. Mwamtumu


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Ndg. Abdulirazizi Hamadi Ibrahim akitoa shukrazi baada ya kukabiodhiwa shilingi milion mbili na Mbunge wa Viti Maalu wa Mkoa wa kusini Unguja.

No comments:

Post a Comment