Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtum Dau Haji amekikabidhi jezi kwa timu mbili za wanawake
Bungi na Kiembesamaki. zenye Thamani ya shilingi Laki mbili na elfu sabini.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtum Dau Haji amefungua michezo ya mechi za tombe la mbuzi zinaendela katika kiwanja chaBungi kwa kuanza kuchezwa na wanawake time ya Bungi City na Kiembe samaki na mwisho wa mchezo Bungi waliibuka kwaushindi wa maili moja na
Mhe. Mwamtum Dau Haji aliwakabidhi timu zote mbili zawadi wa jezi kwa kila mmoja.
Pia mchezaji wa kiembe Samaki amesema kuwa wachezaji wenzake kunawengine wanajifunza wale wangle wanao weza wanatakiwa kuwasaidia
Wanzao Katina kuwagawia pasi ilikuwawezesha kujifunza na amewataka wazazi wawaluhusu watoto wao wa kike kucheza mira wa miguu kwani
Michezo his siuhuni na wanajiweka fiti kimwilina kiakili,
No comments:
Post a Comment