MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA KUSINI UNGUJA MH. MWAMTUM DAU HAJI AMETEMBELEA KIKUNDI CHA CHAZA MALI


Bahati Issa akimwelezea jinsi kikundi icho kilivyoanza na kumuonesha usajili wa kikundi icho Mhe Mwamtam Dau Haji.


MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa kusini Unguja Mhe. Mwamtum Dau Haji akimkabidhi shilingi Laki mbili mmoja ya mwanakikundi kwa jili ya kuongeza mtaji kikundi icho cha Chaza Mali.

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtum Dau Haji amewatembelea wanakikundi cha Chaza Mali kilichopo Kikungwa na kuwakabidhi shilingi Laki mbili kwa jili ya kukikuza kikudi icho. 

Na kuwataka wasivunjie moyo atakama kwasasa kinawanachama wachache kutoka na wanachama wengine kujito, ivyo inatakiwa kufanya

Kazi kwa midi na kuongeza ushilikiano ili kukuza kikundi icho na kitakapo kuwa kikubwa basi wale wanachama waliojitoa watalejea, 

kwa ivyo amewataka pia kulejea na biashara Yao ya zamani ya chaza na makome kwani inasamani sana kwa sasa tukiwa katika uchimi Wa bluu ilikumuunda mono Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.


Piawa aliwaba msaada wa shilingi laki Mbili Kwa afili ya kuwaongezea mtaji wanakikundi hao na amewataka kuendelea kukimalisha kikundi icho

Ilikuoneza wanachama.



MMOJA kati wa mwanakikundi akimkabidhi kawa Mhe. Mtumtum Dau Haji kama zawadi.


Bahati Issa Suleiman mwanachama wa kikundi cha Chaza Mali nae pia amewaonda viongozi wengine kujitokeza kutoa msaada kwa wanakikundi

icho Kama alive jitokeza Mhe. Mwamtum Dau Haji. 


Pia ameitaka Serikali kuwasaidia wajasilia mali kwa kuwatafutia solo la bihashara na kuwapatia mikopo au vitendea kazi ilikuendele kukiimalisha kikundi chao na kujikwamua kiuchumi, kwani kukundi icho kilianza mwaka 2005 na kusajili wa mwaka 2009 na kikundi hicho kinajishilicha na kusuka mikoba, makawa, mikeka, uzaji wa vyungu na vyombo via plastiki.

No comments:

Post a Comment