MBUNGE wa Viti maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtumu Mdau Haji akishilikiana na (ZSDA) Jumuiya ya Malazi yasio ambukiza. Wamefika Leo wametembelea Jimbo la Chwaka lililopo Mkoa wa Kusini Unguja ili kuwacheki Afya wananchi wa maeneo ayo na kujua marazi pamoja na kuwapatia dawa kama mtu atajulikana ana ugonjwa,
Pia Mhe. Mwamtumu amesema kuwa viongozi mbalimbali wanatakiwa kuiga mfano wake kwa kuwapima wananchi wao ilikujua marazi yanaya wasumbua kwani afya ndo yambo muhimu kwa kila mwanadam na nchi ujengwa na wananchi waliokuwa na afya bora.
Pia Mjumbe wa bodi ya ZSDA Ndg. Sada Ali Mohamed amempongeza sana Mhe. Mwamtumu kwa fursa aliwapa wananchi cujus Afya zao bule na amewataka wananchi wawe wanajitokeza kwa wingi wanapopata fursa kama izi kwani kujua afda yaka ni jambo muhim sana kwa binadamu na amewaomba viongozi wengine waige na tao wapotayari kushilikiana na kiongozi yoyote atakae itakaeitaji kutoa fursa kama iyo.
SHEHA wa Sheia ya Chunga Ndg. Simai Msalaka Pinda amesema hii ni nafasi adimu inatakiwa watu uichangamkia ilikujua afya zao kwani ni bure na upatikanaji wa afasi kama izi si mara kwa mara zinapojitokeza inatakiwa watu kuchanga mkia fursa kuja kujua afya zao. Amewataka viongozi wasichoke kujitolea kuja kujua afya za wananchi wao kwa watt capo senti wanao sumbuliwa na marazi mbalimbali.
Pia Wananchi wa Chwaka Ndg. Mjaje Uwanjani Juma anasukulu sana kupata nafasi iyo maana kutokana na ali ya kiuchumi kuna Watu wengine awawezi kwenda Hospitali kujua afya zao kwani garama kubwa awawezi kuzimudu sasa zikitokea kursa kana izo wanawakiwa wats kujitokeza kwa wingi cujus afya zao.
Nae Jafari Ali Sabiti mkaazi wa Pongwe anasema amefuraishwa sana na kuletewa bursa kama hiƧ kwa vijijni kuna kuwa akuna huduma kama izi na kenda kuzifata mini kunakuwa na msongamano mkuwa kwaiyo amewataka watu wajitokeze kuja kujua afya zao. Amemshukulu sana Mbunge uyo wa Viti Maalum kufanya jambo kama ilo amewataka viongozi wangine pia kuiga mfano huo.
No comments:
Post a Comment