MHE. MWAMTUMU MDAU HAJI MBUNGE WA VITI MAALUM AMEFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BAADA YA KUAPICHWA.


MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtumu Mdau Haji akifanywiwa kipimo cha Macho na Dactar wa macho.
 

NAIBU wa Sheha Shehiya ya Paje Ayubu Haji Jecha akizungunza na wanachi wa Shehiya iyo waliokuwa wamejitokeza katika zoezi la kucheki Afya zao.

WANANCHI wakiwa katika foreni ya kusubilia huduma ya kupatiwa vipimo kwajili ya kucheki Afya zao

WANANCHI alijitokaza kucheki Afya yake 

MBUNGE wa Viti maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtumu Mdau Haji amefanya ziara yake ya kwanza toka alivyotoka Dodoma kuapishwa kwajiri ya kuwatumikia wanchi wa Mkoa huo, amemtembelea mtoto mwenye ulemavu na kumpa msaada wa godoro na pempasi mkaazi wa Muungoni mtoto wa tatu wa mzazi wa Safia Mzago Ali, mzazi uyo ameshukuru sana kwa msaada hue na kuwataka viongozi pamoja na watu mbalimbali kujitokeza kumsaidia mtoto wake uyo.



MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Mwamtumu Mdau Haji akizungumza na mgojwa mwenye ulemavu Nassir Ali Ame baada ya kumkabidhi msaada wa godoro na pempasi nyumbani kwao Muungoni uko Kusini.


Pia alifanya tiara ya kwenda kukamilisha ahadi ya wananchi wa kijiji cha paje kwajili ya kupima Afya zao vipimo vya presha, ugonjwa wa marazi ya ngozi, macho na sukari, amesema swill kama ili ni zuri kwa viongozi kufanya mambo kama aya kwani kuna wananchi ambao awana pesa za kwenda hospitali kufanya vipimo kama ivyo kwani garama kubwa sana, 


Pia ametakiwa wananchi kujitokeza kuja kucheki Afya zao kwani vipimo ivyo ni bure na pia wanapatiwa dawa bure kama mtu atakae kutwa na marazi, na miwani inatolewa bure kwa watt watakao julikana na matatizo ya macho.


Pia wananchi wamejitokeza kwa wingi kuja kucheki Afya zao na kuna baadhi ya wananchi wamekutwa na marazi na wamepatiwa dawa,  amesema garama zote tumetumika shilingi milioni mbili lakisaba na elfutatu. Amesema kuwa vipimo ivyo atovifanya kwa jimbo ilo tu atapita kwa majimbo ambayo ayajatolewa udumaiyo ili na wananchi ya majimbo menine wapate uduma iyo ya kucheki afya zao kwani kuna wananchi wengi awawezi kumudu uduma ya afya.


NAIBU Sheha wa Kijiji cha Paje Ndugu Ayubu Haji Jecha amesema kuwa wananchi wa kijiji cha Paje wamefalijika sana kwa kuja kwa Timu ya Madactari kujakuwafanyia huduma ya kuwafanyia vipimo ivyo kwa jailli ya kucheki Anya zao,    na pia wanaamini kuwaitiani bila ya uduma ya Afya basi akuna kituchochote kinachoweza kufanyika katika Maisha ya binadamu na sasa neo wanaiona ahadi aliosema raisi takati wa kampeni kwamba yajayo ni neema tupu.


Pia Mjumbe wa Sheha Jaha Issa amemshukuru sana Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Kusini kwa kuwaletea huduma iyodürden kwa kuna wananchi wengi wagonjwa na walikuwa awanauwezo wa kwenda kucheki Afya zao katika Hospital.


Mkazi wa Shehiya ya Paji Mshimba Seephu Ali amesema wananchi wamefarijika sana na wameitikia wito huo na kuja kucheki afya zao na amesema kuwa isiwe ni mwanzo tu uo ila ifanyikea ata kama baada ya miezi mitatu au minne wawe wanakuja kuja kucheki afya zao wananchi wa kunawanachi wengi wanataka kuchi afya za ila wanashindwa kumudu garama za vipimo.

No comments:

Post a Comment