WENYEVITI WA WILAYA PAMOJA NA WAMIKO WAMEKUTANA KUAZIMISHA MIAKA 44 YA KUZALIWA KWA CCM


MAKAMU Mwenyekiti wa UWT Taifa  Ndg. Thuwaybah Kisasi akizungumza na Wenyeviti wa Wilaya na Mikoa katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 

KWA mara ya kwanza wazo la kuunganisha vyama vya TANU na Afro-Shiraz
lilitolewa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini Dar es
Saalam katika mkutano mkuu wa uchaguzi uliojumlisha wajumbe wa TANU na
ASP mnamo Septemba 23 mwaka 1975.

Mkutano huo ulikusudia kupendekeza jina la mgombea wa kiti cha urais
wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa 26 Oktoba mwaka 1975 ambapo baada
ya kikao hicho ulifuatia mkutano mkuu wa TANU uliomalizika Septemba 31
mwaka 1975 na kupitisha maazimio 61 na kutolewa kwa agizo kwa
Halmashauri Kuu ya TANU kushughulikia pendekezo la kuviunganisha vyama
vya TANU na ASP.

Kwa upande wa Zanzibar kulichukuliwa hatua kadhaa kutekeleza mpango
huo ambapo 21 Oktoba mwaka 1975 Rais wa ASP Aboud Jumbe alizungumza na
wenyeviti na Makatibu wa ASP,Wajumbe wa Umoja wa Vijana,Kinamama na
wanasiasa wa idara za serikali na mashirika ya umma huku ikiwa lengo
ni kuwafahamisha nia ya ASP ya kutafuta njia sahihi za kuunganisha
chama hicho na TANU kwa maslahi ya taifa na muungano.

Mwaka 1976 ASP ilitimiza miaka 19 tangu kuzaliwa kwake huku sherehe
zake kitaifa kwa mara ya kwanza zilifanyika Konde Pemba ambapo Mwalimu
Nyerere alikuwa miongoni mwa wageni rasmi kwenye sherehe hiyo na
alitumia fursa hiyo ya kuwakumbusha wananchi haja ya kuunganisha vyama
hivyo.

Katika hatua hiyo wanachama wa ASP pia walipata fursa ya kutoa maoni
yao katika ngazi za matawi,wilaya,mikoa na taifa ambapo kwa upande wa
Tanzania Bara matawi ya TANU 6,389 yalikubali kuunganishwa kwa vyama
hivyo na matawi sita yalikataa.

Na kwa Zanzibar mnamo Juni 15 mwaka 1976 ilitangazwa rasmi katika
ukumbi wa Umoja ni Nguvu Chake Chake Pemba kuwa wana ASP wamekubali
kwa pamoja kuunganisha vyama vya TANU na ASP ambapo Rais Jumbe
alitangaza kuwa matawi yote 257 ya chama,Unguja na Pemba yenye
wanachama 103,983 yamekubali pendekezo la kuunganisha vyama na
wanachama 409 kati ya hao ndio waliokataa pendekezo hilo.

Baada ya hapo mkutano wa Halmashauri Kuu za TANU na ASP wa kujadili
utekelezaji wa kuunganisha vyama hivyo ulifanyika katika ukumbi wa
Karimjee mjini Dar es Saalam mnamo 20 Oktoba mwaka 1976 ambapo wajumbe
wa mkutano huo waliteuwa tume ya watu 20 ambapo 10 kutoka TANU na 10
kutoka ASP kwa ajili ya kutayarisha mapendekezo ya katiba ya chama
kipya.

Ilitangazwa rasmi kuwa vyama hivyo vimekubali mapendekezo ya katiba ya
chama kipya kitakachoitwa "Chama Cha Mapinduzi" ilipendekezwa kuwa
chama hicho kianzishwe rasmi 5 Februari mwaka 1977 ambapo hatua
zilizofuata zilikuwa ni kutayarisha sherehe za kuanzisha chama kipya
pamoja na kujadili rangi na michoro ya kadi mpya za wanachama,muundo
wa bendera,alama rasmi za chama ada za uanachama na fomu za uchaguzi
wa viongozi.

Mkutano mkuu wa mwisho wa ASP kabla ya kuvunjika kwa chama hicho
ulifanyika 17-18 Januari mwaka 1977 katika ukumbi wa chuo cha ufuni
cha Karume,Mbweni Unguja,pamoja na mambo mengine kikao hicho
kilijadili matayarisho ya sherehe za miaka 20 ya ASP ambazo zilikuwa
za mwisho na pia kutoa kauli ya kupokea chama kipya.

Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zilifanyika katika uwanja wa Amani
Zanzibar jioni ya jumamosi ya 5 Februari mwaka 1977 ambapo sherehe
hizo zilikwenda sambamba na maadhimisho ya 20 ya ASP na kwamba katika
sherehe hizo zilihudhuriwa na viongozi kadhaa wa kitaifa na 14 wa nchi
za Afrika huku pia wageni wengine 400 kutoka nchi 60 na maandamano ya
wanafunzi,wakulima na wafanyakazi waliojitokeza kukiaga chama cha ASP
na ndipo CCM ilipozaliwa rasmi.

Ilikuwa saa 12:15 jioni siku ya jumamosi ya 5 Februari mwaka 1977
wakati bendera mpya ya CCM ilipopandishwa kuashiria kuzaliwa kwa chama
ambapo maelfu wa wananchi walijitokeza kiwanjani hapo wakishuhudia
kitendo hicho cha kihistoria mara tu baada ya kuzaliwa kwa CCM
mabadiliko makubwa yalitokea kwa upande wa chama na serikali ya
Zanzibar.

Katika kukumbuka historia ya sherehe hizo za kuzaliwa kwa CCM ambapo
inatimiza miaka 43 CCM mwindishi wa makala hii amefanya mahojiano na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdalla Juma Mabodi na Baraza la
Wazee CCM kutaka kujua mafanikio ya chama katika kipindi hicho cha
miaka tangu kuzaliwa kwake.

Naibu Katibu Mkuu anaanza kusema katika kipindi cha miaka 43 ya CCM
CCM inajivunia kuwa ni chama chenye umadhubuti katika mifumo yake ya
ikiwemo kwenye eneo la nidhamu, maadili na kwamba ni mambo ambayo
yanakifanya chama hicho kitukuke na kisiwe rahisi kupenywa kwa
vibaraka wanaotaka kukivuruga.

Anasema katika kipindi cha miaka 44 CCM kimeshindikana mpaka hivi leo
tangia kilipoanzishwa mwaka 1977 kupenyezwa au watu kupenya na kutia
sumu ndani ya chama kwani majaribio mengi ya kukivuruga yalitokea
lakini kutokana na umadhubuti wake  umefanya majaribio hayo yashindwe
kufanikiwa.

Katika maelezo yake anaongeza kuwa jambo jengine la kujivunia katika
miaka 43 ya CCM ni kwamba chama kinajibu sera za wananchi pamoja na
kuthamini umoja wa katika chama.

"Tunaamini kuwa umoja ndani ya chama cha mapinduzi ndiyo ushindi na
umoja ni itikadi ambayo itathamini wengi kuliko kuwa na kuwadharau
wachache kwa hivyo umoja umetusaidia sana hadi kufikia hapa," anasema.

Anaongeza kuwa kitendo cha CCM kujishusha katika ngazi za chini kwa
wananchi ni jambo muhimu sana katika chama ambapo viongozi wanapata
kujua hali halisi za wananchi jambo ambalo linapelekea kuleta mvuto
kwa wananchi kuendelea kukiamini chama.

Naibu Katibu Mkuu huyo anaendelea kuwa CCM mpaka kufikia hapa kilipo
kimepitia ngazi nyingi za mabadiliko ya uongozi kwa kila awamu.

Anasema katika miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM inajivunia kuwepo kwa
utaratibu mzuri wa kubadilishana uongozi ambapo umesaidia kukiimarisha
chama kutokana na kuwa kila mtu anakuja na mawazo yake hali
inayopelekea chama kwenda mbele zaidi kimafanikio, ikilinganisha na
vyama vyengine vya siasa ambavyo vina kiongozi mmoja tangu
vilipoanzishwa.

"Hiki chama si cha mtu mmoja na kila mtu ana haki ya kuwa kiongozi
hivyo utaratibu wetu toka vyama vya Afroshiraz Part na TANU ni
kubadilishana uongozi,"anasema

Dk.Mabodi anasema CCM kimetokana na misingi ya chama cha  Afroshiraz
Part pamoja na TANU, ambavyo vilianzishwa kwa ajili ya ukombozi kwa
kumuweka mwananchi wa Tanganyika na Zanzibar katika hali iliyokuwa
huru.

"Mwananchi wa Tanzania alinyimwa uhuru wake tangu uvamizi wa ukoloni
kwa karne zaidi ya mbili, hivyo vyama vya Afroshiraz part pamoja na
TANU walipigana kuhakikisha kuwa nchi inakuwa huru na kujitawala
wenyenwe,"anasema

Anasema suala la ukombozi wa kumkomboa na kumuweka huru mtanzania
tayari umeshafanyika na vyama vya Afroshiraz Part pamoja na TANU na
kwamba CCM sasa kinaenda kuleta ukombozi wa kisiasa, kiuchumi,
kimaendeleo na ustawi wa wananchi.

Naibu Katibu Mkuu huyo anasema misingi ya chama ni kuwa na mfumo wa
kuwaelezea wananchi nini wanakifanya na kiibuliwe na wananchi lakini
na viongozi wanaopanga zile sera wawaelezee wananchi.

"Jambo la mwanzo la mafanikio yetu sisi ni kujibu hoja na matakwa ya
wananchi kila awamu zinapokwenda kwani chama cha mapinduzi kimeanza
kuwa na sera zake tangu kilipozaliwa kuwa na muelekeo wake wa ilani
kwa kila kipindi," anasema.

Kwa upande wa Baraza la wazee la CCM Zanzibar linaelezea namna wazee
wanavyoridhishwa na mafanikio ya miaka 43 yaliopatikana ambapo
linaeleza jinsi malengo yaliopewa chama yanavyosimamiwa ipasavyo tangu
kuanzishwa kwake.

Mwenyekiti wa Baraza hilo Khadija Jabir Mohamed anasema ni miaka 43
tangu kuzaliwa kwa CCM wazee wa chama wanashukuru kuona malengo ya
kuanzishwa kwa chama yanaendelea kusimamiwa na kutekelezwa kwa nguvu
zote.

Anasema moja ya malengo makuu iliopewa CCM ni kuendelea kulinda
mapinduzi ya Zanzibar pamoja na muungano wa Tanganyika na Zanzibar
ulioasisiiwa 26 Aprili mwaka 1964 .

"Sisi wazee tumeridhishwa na jinsi malengo haya yanavyosimamiwa kwa
sababu tumeshuhudia hakuna mtu anayechezea mapinduzi ya mwaka 1964
wala kuyabeza lakini tupo imara kuhakikisha hakuna mtu anayechezea
muungano wetu na chama chetu kipo imara,"anasema Mwenyekiti huyo

Anaongeza kuwa katika miaka 44 CCM imeendelea kuhakikisha Tanzania
inajitawala kwa uhuru kisiasa,kiuchumi na kijamii na kuendelea kupinga
hali ya unyonyaji kutokana na kuwa ni chama cha muunganiko wa vyama
viwili vya ukombozi ambavyo vilipinga unyonyaji na kupigania uhuru wa
nchi mbili.

Katika maelezo yake Mwenyekiti huyo anasema nchi za Afrika kulikuwa
hazina nafasi ya kuwa na uhuru wao zilikuwa zinanyonywa hazina nguvu
za kujitawala hivyo ndipo vyama vya ukombozi vya TANU na ASP zikaamua
kuungana ili kupigania uhuru kamili na kutokuwa na hali ya unyonge.

Anaongeza kuwa  hakuwa rahisi kuvivunja vyama vya TANU na ASP kutokana
na historia zao kwani ikumbukwe vyama hivyo vilifanya kazi kubwa ya
kuleta uhuru na ukombozi wa wananchi wa Zanzibar na Tanganyika na
kuzaa taifa la Tanzania.

Naye Katibu wa Baraza hilo la Wazee CCM Zanzibar,Haji Machano anasema
katika miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM wazee wameshuhudia kuendelezwa
malengo yaliopewa chama kwa mujibu wa katiba ya chama ambapo CCM
imeendelea kushika dola kwenye chaguzi zote kama ilivyoagizwa ibara ya
5(1).

Anasema ushindi wa CCM katika chaguzi zote tangu kuingia kwa mfumo wa
vyama vingi vya kisiasa ni kielelezo cha kukubalika kwake na wananchi
wengi wapenda maendeleo.

"Serikali ya CCM kwa Tanzania Bara na visiwani imeendelea kufanya kazi
kubwa ya kuimarisha uchumi na kujenga miundombinu ya mawasiliano ya
barabara mijini na vijijini pamoja na kuimarisha ustawi wa demokrasia
kwa wananchi hatua hiyo imefanya CCM kufungua milango yake wazi kwa
makundi mbalimbali kujiunga na chama wakiwemo wanachama wa vyama vya
upinzani,"anasema

Anaongeza kuwa serikali ya CCM zimeendelea kusimamia utoaji elimu bure
kwa watoto kuanzia elimu ya awali msingi hadi sekondari pamoja na
kufuta ada zote walizokuwa wakitozwa wazazi.

"Sisi wazee pia tunaipongez serikali yetu ya SMZ chini ya Rais Dk.Ali
Mohamed Shein kwa kuendelea kutupatia pensheni jamii kwa kila mwezi
hali inayowafanya wazee kuishi kwa matumaini makubwa sisi waze wa CCM
tunaahidi kuwa tutatendelea kutoa ushauri wetu kwa serikali zetu zote
mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,SMZ na kuziunga mkono
kikamlilifu serikali zetu kwa faida yetu na wananchi kwa
jumla,"anasema

Kwa upande wake Bakari Juma Naodha ambaye ni miongoni mwa wazee wa
baraza hilo la wazee CCM Zanzibar, anasema hakuna chama chochote
kilichofanya maendeleo kwa Tanzania Bara na Zanzibar kama CCM hivyo ni
moja ya mafanikio makubwa ya miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM.

Mzee Bakari anasema katika kipindi cha miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM
wazee wanajivunia mafanikio yaliopatikana ndani ya chama kuona namna
ilani ya uchaguzi inavyotekelezwa kwa kiasi kikubwa sana kupitia
usimamizi mzuri wa viongozi wakubwa wa chama.

Anasema wazee wa CCM Zanzibar wanawashukuru viongozi wa chama wakiwemo
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk.John Magufuli na Makamu wake Rais
Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Makmau Mwenyekiti wa CCM Tanzania
Bara,Philiph Mangula kwa uongozi wao wa busara kwa kudumisha amani.

"Kuna haja ya kuhakikisha vijana wanafahamu wapi CCM ilipotokea
kutokana na kuwa vijana hao ndio wenye jukumu ya kulinda na kukitetea
chama na kwamba hatua hiyo itatakiwa kuwapatia kwenye madarasa ya
itikadi,"anasema


NAIBU Mkuu wa UWT Zanzibar Ndg. Tunu Juma Kondo akizungumza na Wenyeviti wa Wilaya na Mikoa katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 

KWA mara ya kwanza wazo la kuunganisha vyama vya TANU na Afro-Shiraz lilitolewa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini Dar es Saalam katika mkutano mkuu wa uchaguzi uliojumlisha wajumbe wa TANU na ASP mnamo Septemba 23 mwaka 1975.

Mkutano huo ulikusudia kupendekeza jina la mgombea wa kiti cha urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa 26 Oktoba mwaka 1975 ambapo baada ya kikao hicho ulifuatia mkutano mkuu wa TANU uliomalizika Septemba 31 mwaka 1975 na kupitisha maazimio 61 na kutolewa kwa agizo kwa Halmashauri Kuu ya TANU kushughulikia pendekezo la kuviunganisha vyama vya TANU na ASP.

Kwa upande wa Zanzibar kulichukuliwa hatua kadhaa kutekeleza mpango huo ambapo 21 Oktoba mwaka 1975 Rais wa ASP Aboud Jumbe alizungumza na wenyeviti na Makatibu wa ASP,Wajumbe wa Umoja wa Vijana,Kinamama nawanasiasa wa idara za serikali na mashirika ya umma huku ikiwa lengoni kuwafahamisha nia ya ASP ya kutafuta njia sahihi za kuunganishachama hicho na TANU kwa maslahi ya taifa na muungano.

Mwaka 1976 ASP ilitimiza miaka 19 tangu kuzaliwa kwake huku sherehe zake kitaifa kwa mara ya kwanza zilifanyika Konde Pemba ambapo Mwalimu Nyerere alikuwa miongoni mwa wageni rasmi kwenye sherehe hiyo na alitumia fursa hiyo ya kuwakumbusha wananchi haja ya kuunganisha vyama hivyo.

Katika hatua hiyo wanachama wa ASP pia walipata fursa ya kutoa maoni yao katika ngazi za matawi,wilaya,mikoa na taifa ambapo kwa upande wa Tanzania Bara matawi ya TANU 6,389 yalikubali kuunganishwa kwa vyama hivyo na matawi sita yalikataa.

Na kwa Zanzibar mnamo Juni 15 mwaka 1976 ilitangazwa rasmi katika ukumbi wa Umoja ni Nguvu Chake Chake Pemba kuwa wana ASP wamekubali kwa pamoja kuunganisha vyama vya TANU na ASP ambapo Rais Jumbe alitangaza kuwa matawi yote 257 ya chama,Unguja na Pemba yenye wanachama 103,983 yamekubali pendekezo la kuunganisha vyama na wanachama 409 kati ya hao ndio waliokataa pendekezo hilo.

Baada ya hapo mkutano wa Halmashauri Kuu za TANU na ASP wa kujadili utekelezaji wa kuunganisha vyama hivyo ulifanyika katika ukumbi wa Karimjee mjini Dar es Saalam mnamo 20 Oktoba mwaka 1976 ambapo wajumbe wa mkutano huo waliteuwa tume ya watu 20 ambapo 10 kutoka TANU na 10 kutoka ASP kwa ajili ya kutayarisha mapendekezo ya katiba ya chama kipya.

Ilitangazwa rasmi kuwa vyama hivyo vimekubali mapendekezo ya katiba ya chama kipya kitakachoitwa "Chama Cha Mapinduzi" ilipendekezwa kuwa chama hicho kianzishwe rasmi 5 Februari mwaka 1977 ambapo hatua zilizofuata zilikuwa ni kutayarisha sherehe za kuanzisha chama kipya pamoja na kujadili rangi na michoro ya kadi mpya za wanachama,muundo wa bendera,alama rasmi za chama ada za uanachama na fomu za uchaguzi wa viongozi.

Mkutano mkuu wa mwisho wa ASP kabla ya kuvunjika kwa chama hicho ulifanyika 17-18 Januari mwaka 1977 katika ukumbi wa chuo cha ufuni cha Karume,Mbweni Unguja,pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili matayarisho ya sherehe za miaka 20 ya ASP ambazo zilikuwa za mwisho na pia kutoa kauli ya kupokea chama kipya.

Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zilifanyika katika uwanja wa Amani Zanzibar jioni ya jumamosi ya 5 Februari mwaka 1977 ambapo sherehe hizo zilikwenda sambamba na maadhimisho ya 20 ya ASP na kwamba katika sherehe hizo zilihudhuriwa na viongozi kadhaa wa kitaifa na 14 wa nchi za Afrika huku pia wageni wengine 400 kutoka nchi 60 na maandamano ya wanafunzi,wakulima na wafanyakazi waliojitokeza kukiaga chama cha ASP na ndipo CCM ilipozaliwa rasmi.

Ilikuwa saa 12:15 jioni siku ya jumamosi ya 5 Februari mwaka 1977 wakati bendera mpya ya CCM ilipopandishwa kuashiria kuzaliwa kwa chama ambapo maelfu wa wananchi walijitokeza kiwanjani hapo wakishuhudia kitendo hicho cha kihistoria mara tu baada ya kuzaliwa kwa CCM mabadiliko makubwa yalitokea kwa upande wa chama na serikali ya Zanzibar.

Katika kukumbuka historia ya sherehe hizo za kuzaliwa kwa CCM ambapo inatimiza miaka 43 CCM mwindishi wa makala hii amefanya mahojiano na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdalla Juma Mabodi na Baraza la Wazee CCM kutaka kujua mafanikio ya chama katika kipindi hicho cha miaka tangu kuzaliwa kwake.

Naibu Katibu Mkuu anaanza kusema katika kipindi cha miaka 43 ya CCM.CCM inajivunia kuwa ni chama chenye umadhubuti katika mifumo yake ya ikiwemo kwenye eneo la nidhamu, maadili na kwamba ni mambo ambayo yanakifanya chama hicho kitukuke na kisiwe rahisi kupenywa kwa vibaraka wanaotaka kukivuruga.

Anasema katika kipindi cha miaka 43 CCM kimeshindikana mpaka hivi leo tangia kilipoanzishwa mwaka 1977 kupenyezwa au watu kupenya na kutia sumu ndani ya chama kwani majaribio mengi ya kukivuruga yalitokea lakini kutokana na umadhubuti wake  umefanya majaribio hayo yashindwe kufanikiwa.

Katika maelezo yake anaongeza kuwa jambo jengine la kujivunia katika miaka 43 ya CCM ni kwamba chama kinajibu sera za wananchi pamoja na kuthamini umoja wa katika chama.

"Tunaamini kuwa umoja ndani ya chama cha mapinduzi ndiyo ushindi na umoja ni itikadi ambayo itathamini wengi kuliko kuwa na kuwadharau wachache kwa hivyo umoja umetusaidia sana hadi kufikia hapa," anasema.

Anaongeza kuwa kitendo cha CCM kujishusha katika ngazi za chini kwa wananchi ni jambo muhimu sana katika chama ambapo viongozi wanapata kujua hali halisi za wananchi jambo ambalo linapelekea kuleta mvuto kwa wananchi kuendelea kukiamini chama.

Naibu Katibu Mkuu huyo anaendelea kuwa CCM mpaka kufikia hapa kilipo kimepitia ngazi nyingi za mabadiliko ya uongozi kwa kila awamu.

Anasema katika miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM inajivunia kuwepo kwa nutaratibu mzuri wa kubadilishana uongozi ambapo umesaidia kukiimarisha chama kutokana na kuwa kila mtu anakuja na mawazo yake hali inayopelekea chama kwenda mbele zaidi kimafanikio, ikilinganisha na vyama vyengine vya siasa ambavyo vina kiongozi mmoja tangu vilipoanzishwa.

"Hiki chama si cha mtu mmoja na kila mtu ana haki ya kuwa kiongozi hivyo utaratibu wetu toka vyama vya Afroshiraz Part na TANU ni kubadilishana uongozi,"anasema

Dk.Mabodi anasema CCM kimetokana na misingi ya chama cha  Afroshiraz Part pamoja na TANU, ambavyo vilianzishwa kwa ajili ya ukombozi kwa kumuweka mwananchi wa Tanganyika na Zanzibar katika hali iliyokuwa huru.

"Mwananchi wa Tanzania alinyimwa uhuru wake tangu uvamizi wa ukoloni kwa karne zaidi ya mbili, hivyo vyama vya Afroshiraz part pamoja na TANU walipigana kuhakikisha kuwa nchi inakuwa huru na kujitawala wenyenwe,"anasema

Anasema suala la ukombozi wa kumkomboa na kumuweka huru mtanzania tayari umeshafanyika na vyama vya Afroshiraz Part pamoja na TANU na kwamba CCM sasa kinaenda kuleta ukombozi wa kisiasa, kiuchumi, kimaendeleo na ustawi wa wananchi.

Naibu Katibu Mkuu huyo anasema misingi ya chama ni kuwa na mfumo wa
kuwaelezea wananchi nini wanakifanya na kiibuliwe na wananchi lakini
na viongozi wanaopanga zile sera wawaelezee wananchi.

"Jambo la mwanzo la mafanikio yetu sisi ni kujibu hoja na matakwa ya
wananchi kila awamu zinapokwenda kwani chama cha mapinduzi kimeanza
kuwa na sera zake tangu kilipozaliwa kuwa na muelekeo wake wa ilani
kwa kila kipindi," anasema.

Kwa upande wa Baraza la wazee la CCM Zanzibar linaelezea namna wazee
wanavyoridhishwa na mafanikio ya miaka 43 yaliopatikana ambapo
linaeleza jinsi malengo yaliopewa chama yanavyosimamiwa ipasavyo tangu
kuanzishwa kwake.

Mwenyekiti wa Baraza hilo Khadija Jabir Mohamed anasema ni miaka 43
tangu kuzaliwa kwa CCM wazee wa chama wanashukuru kuona malengo ya
kuanzishwa kwa chama yanaendelea kusimamiwa na kutekelezwa kwa nguvu
zote.

Anasema moja ya malengo makuu iliopewa CCM ni kuendelea kulinda
mapinduzi ya Zanzibar pamoja na muungano wa Tanganyika na Zanzibar
ulioasisiiwa 26 Aprili mwaka 1964 .

"Sisi wazee tumeridhishwa na jinsi malengo haya yanavyosimamiwa kwa
sababu tumeshuhudia hakuna mtu anayechezea mapinduzi ya mwaka 1964
wala kuyabeza lakini tupo imara kuhakikisha hakuna mtu anayechezea
muungano wetu na chama chetu kipo imara,"anasema Mwenyekiti huyo

Anaongeza kuwa katika miaka 43 CCM imeendelea kuhakikisha Tanzania
inajitawala kwa uhuru kisiasa,kiuchumi na kijamii na kuendelea kupinga
hali ya unyonyaji kutokana na kuwa ni chama cha muunganiko wa vyama
viwili vya ukombozi ambavyo vilipinga unyonyaji na kupigania uhuru wa
nchi mbili.

Katika maelezo yake Mwenyekiti huyo anasema nchi za Afrika kulikuwa
hazina nafasi ya kuwa na uhuru wao zilikuwa zinanyonywa hazina nguvu
za kujitawala hivyo ndipo vyama vya ukombozi vya TANU na ASP zikaamua
kuungana ili kupigania uhuru kamili na kutokuwa na hali ya unyonge.

Anaongeza kuwa  hakuwa rahisi kuvivunja vyama vya TANU na ASP kutokana
na historia zao kwani ikumbukwe vyama hivyo vilifanya kazi kubwa ya
kuleta uhuru na ukombozi wa wananchi wa Zanzibar na Tanganyika na
kuzaa taifa la Tanzania.

Naye Katibu wa Baraza hilo la Wazee CCM Zanzibar,Haji Machano anasema
katika miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM wazee wameshuhudia kuendelezwa
malengo yaliopewa chama kwa mujibu wa katiba ya chama ambapo CCM
imeendelea kushika dola kwenye chaguzi zote kama ilivyoagizwa ibara ya
5(1).

Anasema ushindi wa CCM katika chaguzi zote tangu kuingia kwa mfumo wa
vyama vingi vya kisiasa ni kielelezo cha kukubalika kwake na wananchi
wengi wapenda maendeleo.

"Serikali ya CCM kwa Tanzania Bara na visiwani imeendelea kufanya kazi
kubwa ya kuimarisha uchumi na kujenga miundombinu ya mawasiliano ya
barabara mijini na vijijini pamoja na kuimarisha ustawi wa demokrasia
kwa wananchi hatua hiyo imefanya CCM kufungua milango yake wazi kwa
makundi mbalimbali kujiunga na chama wakiwemo wanachama wa vyama vya
upinzani,"anasema

Anaongeza kuwa serikali ya CCM zimeendelea kusimamia utoaji elimu bure
kwa watoto kuanzia elimu ya awali msingi hadi sekondari pamoja na
kufuta ada zote walizokuwa wakitozwa wazazi.

"Sisi wazee pia tunaipongez serikali yetu ya SMZ chini ya Rais Dk.Ali
Mohamed Shein kwa kuendelea kutupatia pensheni jamii kwa kila mwezi
hali inayowafanya wazee kuishi kwa matumaini makubwa sisi waze wa CCM
tunaahidi kuwa tutatendelea kutoa ushauri wetu kwa serikali zetu zote
mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,SMZ na kuziunga mkono
kikamlilifu serikali zetu kwa faida yetu na wananchi kwa
jumla,"anasema

Kwa upande wake Bakari Juma Naodha ambaye ni miongoni mwa wazee wa
baraza hilo la wazee CCM Zanzibar, anasema hakuna chama chochote
kilichofanya maendeleo kwa Tanzania Bara na Zanzibar kama CCM hivyo ni
moja ya mafanikio makubwa ya miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM.

Mzee Bakari anasema katika kipindi cha miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM
wazee wanajivunia mafanikio yaliopatikana ndani ya chama kuona namna
ilani ya uchaguzi inavyotekelezwa kwa kiasi kikubwa sana kupitia
usimamizi mzuri wa viongozi wakubwa wa chama.

Anasema wazee wa CCM Zanzibar wanawashukuru viongozi wa chama wakiwemo
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk.John Magufuli na Makamu wake Rais
Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Makmau Mwenyekiti wa CCM Tanzania
Bara,Philiph Mangula kwa uongozi wao wa busara kwa kudumisha amani.

"Kuna haja ya kuhakikisha vijana wanafahamu wapi CCM ilipotokea
kutokana na kuwa vijana hao ndio wenye jukumu ya kulinda na kukitetea
chama na kwamba hatua hiyo itatakiwa kuwapatia kwenye madarasa ya
itikadi,"anasema


WAKATI Chama cha Mapinduzi(CCM) kikiaadhimisha miaka 42 tangu
kuzaliwa kwake Feberuari 5 mwaka 1977 ambapo msingi wake ni muungano
wa vyama viwili kati ya TANU kutoka Tanzania bara na ASP kutoka
Tanzania visiwani(Zanzibar).

Safari ya kuzaliwa kwa CCM ilianzia katika mkutano Mkuu wa pamoja
wa TANU na ASP uliofanyika Septemba 22, mwaka 1975 ambapo
Mwenyekiti wa TANU ambaye ni Rais Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza
kuwa Tanzania ni nchi moja na kwamba alipendekeza kuunganishwa
kwa vyama hivyo na kuundwa kwa chama kipya.

Mapendekezo hayo ya kuunganishwa kwa vyama hivyo na kuundwa chama
kipya liliwasilishwa kwa wanachama wa TANU na ASP ili kulijadili
na kutoa maoni ambapo matokeo ya maoni ya wanachama yalionesha kuwa
asilimai 90 ya wanachama walikubaliana na pendekezo hilo la Nyerere.

Baada ya matokeo hayo Halmashauri Kuu ya Taifa ya TANU na ASP ziliku
tana na kufanya kikao cha pamoja oktoba 1976 ambapo katika mkutano
huo iliteuliwa Tume ya watu 20 iliopewa jukumu la kutayarisha katiba
ya chama kipya huku ikiongozwa na Mwenyekiti wake Sheikh Thabit
Kombo huku Katibu wake akiwa Pius Msekwa.

Januari 21 mwaka 1977 kuliitishwa Mkutano Mkuu wa pamoja wa chama
cha TANU na ASP jijini Dar es Saalam kilichongozwa na Rais
Julius Kambarage Nyerere na Aboud Jumbe na kuamua kuvunja rasmi vyama
hivyo na kuunda chama kipya ambacho ni madhubuti katika muundo wake
na hasa katika fikra zake na vitendo vyake vya kimapinduzi
vya kufutilia mbali aina zote za unyonyaji.

Shabaha ya kuunzishwa kwa chama hicho kipya ambacho ni CCM kuendelea
kuimarisha uhuru wa Tanzania ikiwa ni pamoja na kudumisha mapinduzi
ya Zanzibar,kuendelea kutekeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea
na kuendelea kupanua na kuimarisha demokrasia ndani ya chama na
kufungua milango ya demokrasia Zanzibar.

Kuelekea kutumia kwa miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM imewaibua
wanasiasa wakongwe visiwani humu akiwemo,Bora Afya Silima Juma,
ambapo anaanza kueleeza namna anavyoifahamu CCM kwa kipindi cha miaka
42 katika uwezo wake wa kimabadiliko katika utendaji wake,
anasema vyama hivyo vilivyounganishwa kwa lengo la kuendesha nchi
kwa umoja na nguvu ya pamoja.

Anasema CCM imetokana na muungano wa vyama hivyo ambapo lengo kubwa
ni kuwakomboa wanyonge ambapo kwa upande wa visiwani Zanzibar
walitawaliwa na utawala wa adhimu wa kifalme huku Tanzania bara
ilitawaliwa na Uingereza.

"Hata hivyo, viongozi wetu ambao ni wasisi wa CCM, akiwemo Hayati
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Abed Amani Karume ndio
waliofanya utaratibu na mipango ya kuzipigania uhuru kisiwa cha
Zanzibar kwa njia ya mapinduzi kupitia vyama hivyo huku chama cha
TANU kikipigania upande wa Tanzania bara kwa njia ya mazungumzo,"
anasema Mwanasiasa huyo.

Bora Afya anasema uhuru wa mwaka 1961 na mapinduzi matukufu ya
mwaka 1964 ndio yaliofanya kutokea kwa muungano wa kisiwa cha
Zanzibar na Tanganyika na kwamba hiyo ni miongoni mwa mafanikio
ya kujivunia katika miaka 42 tangu kuanzishwa kwa CCM.

Anasema kuwa malengo ya vyama hivyo vilikuwa vinafafana na kwamba
kwa upande wa ASP ilikuwa ni kuwakomboa wananchi wa tabaka la chini
hususan wakwezi na wakulima ambao walikuwa wanyonge katika kisiwa
cha Zanzibar wakati Tanzania bara ilikuwa kuwakomboa wafanyakazi.

"Pia, malengo ya TANU yalikuwa ya kuwakomboa wananchi wa wanyonge
ambao ndio tabaka la chini katika ukoloni wa uingereza,hata hivyo
ukiangalia sana utaona malengo ya vyama hivyo yanafafana hivyo kwa
upande wangu bado nina amini kuwa tangu kuzaliwa kwa chama ambapo
inatimiza miaka 42 CCM bado inajivunia kuwa inaendeleza malengo ya
vyama vya TANU na ASP,"anaeleza Bora Afya.

Mwanasiasa huyo anaendelea kuwa katika kipindi cha miaka 42 bado
CCM inaendeleza malengo ya vyama vya TANU na ASP na kwamba bado
yako hai kwenye CCM ambapo kwa kupitia alama ya bendera ya CCM ambayo ina
onyesha kuwepo kwa ishara ya jembe na nyundo, na kwamba hayo
yanabeba malengo ya vyama hivyo vya kuwapigania wakulima na wakwezi.

"Baada ya vyama hivi kuungana kwa pamoja na kuzaliwa CCM malengo
hayo hayakubadilika bali yaliendelezwa na kujikita kuwapigania
wafanyakazi na wakulima ambapo lengo ni lile lile la kuwapatia
wananchi maisha bora, kuendeleza umoja wa Afrika, na kuhakikisha
nchi ina kuwa na hali ya utulivu na amani,"anasema Bora afya.

Akizungumzia hali ya chama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, anasema
kuwa CCM ilifika pahala CCM iliingiliwa na matajiri ambapo kitu
chochote kikiwa na mdhamini basi inabidi mdhamini awe juu katika
kutoa maamuzi kuliko wenye mali hivyo malengo makuu ya CCM yakawa
yameanza kupoteza muelekeo.

"Ilikuwa mwanachama wa CCM kwa mujibu wa taratibu zake analelewa na
chama na kupima shughuli zake za kazi alizozifanya na baadae
anatarajiwa kuwa kiongozi lakini ikawa malengo hayo yakapotea,"
anasema.

Mwanasiasa huyo Mkongwe anasema kipindi hicho ilikuwa mwanachama
ukiwa una uwezo wa kifedha huwezi kupata uongozi ndani ya chama,
lakini kwa sasa imerejeshwa kwenye misingi imara ya kipindi
kilipoanzishwa wakati huo ambapo Mwenyekiti wa CCM, ambaye ni Rais
Dk.John Magufuli amekirejesha kwa wanyonge wa chini.

"kwa miaka 42 ya CCM sasa tunajivunia sana mabadiliko ambapo
tumeona mabadiliko ambayo yametokea ndani ya chama kazi kubwa
aliyofanya Mwenyekiti wetu kuirejesha CCM katika malengo yake na
kwamba wale nafasi za matajiri ambao walikuwa wanatumia fedha
kupata uongozi hawapo tena amekirejesha kwa wanyonge wa chini hivyo
ni jambo la kumpongeza kwa mabadiliko makubwa,"anasema Mwanasiasa
huyo.

Mbali na hilo, Mwanasiasa huyo anaeleza sababu ya mabadiliko hayo
kutokea wakati huu na si kipindi kingine, ambapo anasema Hayati
Mwalimu Julius Nyerere aliwaisema kuwa chama regerege uzaa serikali
regerege, lakini chama kikiwa madhubuti kitazaa serikali madhubuti.

Anasema anampongeza na kumshukuru Mwenyekiti wa chama Dk.Magufuli
kwa kuendesha serikali madhubuti na kukijenga chama kwa kuhakikisha
kinarejea katika malengo yake, miongozo yake ya kimaadili ambayo ndio
yalioasisiwa na viongozi walioanzisha Februari 5 mwaka 1977.

"Nina amini kwa muda mfupi tu chama chetu watu watakiheshimu
ilifika pahala watu kwa pesa zao hawakiheshimu chama, maelekezo ya
chama yalikuwa yanapuuzwa na kutofuatwa kabisa, malengo ya CCM ni
kupinga kupata uongozi kwa kutumia rushwa, tulifika pahala rushwa
ilikuwa ni nyingi,"anasema.

Mwanasiasa huyo mkongwe anasema kwa maono yake wakati chama kinatimiza
miaka 42 tangu kuanzishwa kwake ni kuwa CCM inarejea
katika miongozo yake ya awali ambayo iliwekwa na wasisi wa CCM,
hivyo kwa siku za baadae chama kitaongoza kwa ushindi mkubwa
katika uchaguzi ujao kwa zaidi ya asilimia 60 hadi kufikia
asilimia 90.

"Kwa muonekano huu unavyoelekea CCM imeanza kurejea katika miongozo
yake ya awali ya kuwatetea wanyonge kupinga masuala ya rushwa,
ufisadi, ni naamini kabisa chama kimerudi kwenye taratibu zake
wananchi wanyonge watakipenda na kwamba wanakiamini kutokana na
kuwa wakiwa na matatizo wanasaidiwa kwenye chama chao, ilifika
pahala watu walikuwa wanaogopa kupeleka shida zao kwenye chama,
"anasema Bora Afya.

Anaongeza kuwa katika kutimiza miaka hiyo moja ya mafanikio ya CCM
ni kuwa watu wameanza kuwa na imani na CCM na wametambua
kuwa ndio kimbilio la wanyonge, hivyo kwa muelekeo unavyoenda kwa
sasa hakutakuwa na makundi na siku zote makundi hayo yanajengwa na
watu ambao hawana imani na chama, huko nyuma watu wote walikuwa
wana imani na chama na ilisaidia kutokuwa na makundi.

"Awali CCM ilikuwa inawaanda viongozi wake na kisha kutengenezwa,
wanapandishwa na kupelekwa kwenye muelekeo wa miongozo ya chama ya
kuwa na imani na chama,ilifika sehemu watu wanapewa nafasi za
uongozi bila kupimwa imani hivyo ikatokea hali ya makundi lakini
makundi haya yameanza kupungua na kwamba imani yangu ni kuwa
makundi hayo yataondoka yenyewe,"anasema Mwanasiasa huyo mkongwe.

Kwa upande wake Mwanasiasa mkongwe visiwani humu, Baraka Shamte,
anasema katika kipindi cha miaka 42 CCM bado iko imara kutokana
na kuwepo kwa misimamo mizuri ya Mwenyekiti Dk.Magufuli ambapo awali
kulikuwa na hali ambayo mnyonge alikuwa hana haki wala hajui
wakwenda kumlilia wakati chama kipo, viongozi wako lakini hakuna
wanachotekeleza licha ya malengo ya TANU na ASP yalikuwa ni
kusaidia wananchi wenye tabaka la chini.

Anasema wakati chama kinatimiza miaka 42 ni wazi kuwa CCM ya sasa
ndio muenekano wa muungano wa vyama vya ASP na
TANU ambapo kwa sasa chama kinatekeleza miongozo yake ya kuwapima
viongozi wake kimaadili na vilevile misingi ya chama.

"CCM imefanya mabadiliko makubwa kuanzia katika masuala ya
uwajibishwaji wa viongozi wa chama na kwamba kwa mara nyingine tena
tumebahatika kumpata Mwenyekiti huyu ambaye kashushwa na Mungu na
viongozi kama hawa tangu alipoondoka madarakani Mwalimu Nyerere na
Karume hatukuwapata ambapo upande wa Zanzibar,"anasema Shamte.

Shamte anasema si kwamba viongozi waliopita wamefanya vibaya lakini
inalinganishwa kwa hali ya chama na muamko wa serikali,uwajibikaji
wa viongozi wa CCM ambapo kwa sasa kila mtumishi ana nidhamu
kuanzia kwenye chama hadi serikalini.

Anasema awali watumishi wa serikali walikuwa wanafanya kazi kwa
mazoea, ambapo inafika sehemu mtumishi anafanya ubadhirifu mahala
na baadae anahamishwa sehemu nyingine na kwenda kufanya madudu
mengine kuliko aliyoyafanya mwanzo bila ya kuchukuliwa hatua.

"Katika miaka 42 ya CCM tunajivunia kuona Mwenyekiti Dk.Magufuli
anasimamia maadili ya chama kwa kupambana
na mafisadi wa mali za chama, tunaona serikali ya Rais Magufuli
imenyoka kupitia chama, kachuja watu waliokuwa miungu watu wenye
nafasi nyingi, wamenyonyolewa mbawa wote kila kiongozi anakiheshimu
chama,"anasema Mwanasiasa huyo Mkongwe.

Shamte anaongeza kuwa sababu ya viongozi hao kwa sasa kuheshimu
chama ni kwa kuwa anafahamu wakati wowote anaweza kuitwa kwenye
maadili na kupewa adhabu ambapo awali mtu anakuwa mjumbe wa NEC,
Waziri na mjumbe wa Jumuia mbalimbali za Chama na kwamba katika
hali ya kawaida ni ngumu kumuwajibisha kiongozi kutokana na sehemu
zote ana mihimili ya kujikinga.

"Zamani walikuwa wanapanga safu kupeana vyeo leo wakati tunatimiza
miaka 42 ya CCM nina amini kuwa Dk.Magufuli atafanya mabadiliko
makubwa kwa kuweka watu ambao wanafahamu maadili, kanuni, katiba na
miongozo ya chama kwa lengo la kubadili mifumo na kwamba kwa
kufanya hivyo na mwenendo ulioko sasa CCM iko imara na itaendelea
kuongoza dola milele.

"Tukiacha kuwanyosha viongozi hawa ndani ya chama ambao wanakiuka
miko ya chama kwa kufanya vitendo vya rushwa na ufisadi itaitafuna
chama chetu, baada ya hali hii kutokea tumeanza kuona wanavyoanza
kuwajibika kwenye maeneo yao kwa kipindi hichi ambacho Dk.Magufuli
anafanya kazi kubwa ya mabadiliko basi CCM ikifuata maadili sawa
sawa kama hivi itasaidia kuimarisha chama,"anasema Mwanasiasa huyo.

Shamte anasema miaka 42 ya CCM chama kwa upande wa Zanzibar
kinajivunia anachokifanya Mwenyekiti Rais Dk.Magufuli kuondoa vyeo
vingi ambavyo viongozi wa chama walikuwanavyo na kwamba ni jambo
jema ambapo inasaidia kujenga maadili ndani ya chama hivyo
kuondoa mtu kuwa na vyeo vingi ni sehemu moja wapo ya kuirejesha
chama kwa watu.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM,Zanzibar Catherine Peter Nao
anasema katika kuelekea miaka 43 ya kuzaliwa kwa chama kuna
mambo mengi yakijuvunia kwa mafanikio yaliopatikana kwa kipindi
chote hicho ikiwemo kuendelea kukubalika na wananchi katika
sera zake na mipango yake.

Anasema kukubalika kwake kutokana na utekelezaji mzuri wa ilani
zake za uchaguzi ambapo hali hiyo ndiyo inayosababisha
kuendelea CCM kuaminika na kwamba pia katika miaka 43 hiyo ya
kuzaliwa kwa chama imepata mafanikio makubwa ya kuongezeka kwa idadi
ya wanachama.

"Kuongezeka kwa wanachama inatokana na kukubalika kwa
utekelezaji wa ilani jambo ambalo hata wapinzani wamejikuta
wakijiunga na chama katika kipindi cha miaka 43 ya kuzaliwa kwa
CCM bado tunajivunia kuwa chama chenye matumahini kila kona ya
Tanzania kwa wananchi,"anasema

Anaendelea kuwa katika miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM kuna
mafanikio yamepatikana ndani ya chama ikiwemo kuanza mfumo mpya wa
kietroniki kwa lengo la kutambua wanachama wake na kwamba hatua hiyo
ni mageuzi makubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

"Tunajivunia kuona CCM kuwa bado ni chama chenye kuendelea
kusimamia hali ya amani na utulivu ambacho kinabeba hadhi yake
ya kuhakikisha hali ya amani inakuwepo kwa kuielekeza serikali
zake namna ya kufanya hivyo tunajivunia kweli kweli miaka hii
43,"anasema Katibu huyo

Anaendelea kuwa ndani ya miaka 43 CCM inajivunia kuendelea
kuwepo kwa hali ya umoja na ushikamano na kwamba hali hiyo
imesaidia kuleta viongozi mbalimbali ndani ya chama huku hali
hiyo ikionysha dhahiri kuwepo kwa demokrasia ndani ya CCM
ikilinganisha na vyama vingine vya siasa.

"Ndani ya CCM kuna utaratibu mzuri tofauti na vyama vingine
ambavyo viongozi wake ni wale wale na kwamba CCM inataratibu
mzuri kwa kuzingatia katiba yake ambapo kila kipindi cha miaka
mitano tunabadilishana nafasi za uongozi,"anasema

Katika maelezo yake anasema katika kipindi cha miaka 43v ya CCM
jambo kubwa ambalo linajivunia ni kuendelea kuwaletea maendeleo
wananchi kwa kuhakikisha wanapata elimu,afya,maji safi na

salama pamoja miundombinu ya uwakika ya barabara.

No comments:

Post a Comment