RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATENGUA UTEUZI ULIODUMU KWA SIKU 40 TU


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein  Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa KATIBU WA RAIS, BW. SULEIMAN AHMED SALEH kuanzia leo tarehe 14 Disemba ,2020 na atapangiwa kazi nyengine.


Bw. Saleh aliteuliwa kushika wadhifa huo Novemba 04, 2020 na amehudumu kwenye nafasi hiyo ya Ukatibu kwa siku 40 tu.

No comments:

Post a Comment