MWAKILI wa Jimbo la Fuondi Mhe. Yussuf Hassan Idd akimkabidhi matofali Mwenyekiti wa skuli ya Chunga Ndg. Ali Salum Emed kwa ajili ya ujezi wa madarasa ya wanafunzi.
Vifaa vyote imegalimu milioni kumi na tano na mappa kukamilika kwa ujenzi wa madarasa ayo itakuwa imetumika shilingi milioni ishilini na nne.
Pia amesema kuwa vifaa ivyo vitumike kwa ujezi wa madarasa ayo na yaweze kukamilika kwa wakati na amewaomba walimu wa skuli pamoja na uongozi wa skuli uvitulie vifaa ivyo kwa engo lililo kusudiwa.
DIWANI wa Wadi ya Mambo sasa Ndg. Farashum Mussa Abdalla amesema kuwa anashukulu sana kwa msaada hue kwani umekuja kwa wakati kwani watoto walikuwa wanasoma wengi sana katika darasa moja ivyo ukikamilika ujezi wa madarasa ayo utapunguza msongamamo wa wanafunzi katika madarasa na amewaomba wazazi wawahamasishe watoto wao kuja skuli na kuacha kuzulula na kuja skuli wazingatie masomo yao ili wheeze kupata elimu bora na kuwa na maisha masure ukumbeleni.
MWALIMU Mkuu wa Skuli iyo Mohamed Shawishi Ali amesema kuwa wazazi wengi wajitokeza kuandikisha watoto wao skuli, wamepokea wanafunzi wengi sana ivyo msaada wa madarasa ayo yamekuja kwa wakati kwani yatapunguza wingi wa wanafunzi katika darasa moja, na amesema kuwaitíes chunga itazidi kuwaitíes na maendeleo pia wanafunzi watazidi kufanya viizuri na ameaomba viongozi wengine nao waige moyo kama huo wa mwakilishi wa Fuoni ilikuleta maendele katika Skuli iyo kwani inatumiwa na jimbo la Fuoni na la Mwera.
MWENYEKITI wa Skuli Iyo Ali Salum Emed amesema amepokea vifaa komprinti kwa jili ya ujenzi wa skuli iyo mpaka kukamilika na ujenzi utafanyika kwa spidi maana vifaa wamepewa vote kamili, na amewataka wenginewe Viongozi wote waige mfano huo ili kuhalakisha maendeleo katika skuli iyo.
No comments:
Post a Comment